banner

Sunday, April 27, 2014

Picha: Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) likionesha ujuzi wake na baadhi ya silaha za kivita wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano


Makombora ya kutungulia ndege za adui yakioneshwa kwa wananchi


Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.



Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete

Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na adui
Silaha za kivita
Hiki ni kifaru

Kifaru cha kivita kikipita mbele ya wanahabari na wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo
Wananchi wakishuhudia vifaru vikipita wakati wa maadhimisho hayo

Makombora mazito ya kivita yakipita

Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani

Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.
Wakienda kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete

 Rais Jakaya Kikwete akiwapongeza askari hao wa miamvuli mara baada ya kutua kwenye uwanja wa Uhuru

 Baadhi ya silaha zakijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu

Ndege za kivita zikilinda Ndege ya Rais katika maonyesho ya Ndege yaliofanyika kwenye Kilele cha  Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano

Askari   kwa kikosi  cha  komandoo  wakiingia  uwanjani  kwa  ajiri  ya heshima  kwa amiri jeshi mkuu huku  wakiwa  wameshikilia bunduki za AK47

Komandoo  kutoka  kikosi  cha Sangasanga  wakiingia  kwa  mbwembe   kumuonyesha Amiri  Jeshi  Mkuu jinsi  wanavyojilinda  wakati  wakiwa  wamevamiwa, kikosi  ambacho kimeonesha  buruduni  ya  hali  ya  juu

Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment