banner

Wednesday, May 7, 2014

Picha za basi la Princes Muro lililopata Ajali Mikumi Mkoani Morogoro leo.


BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha.

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment