banner

Saturday, May 31, 2014

Profesa Peter Mutharika ashinda kinyang'anyiro cha Urais Nchini Malawi....Joyce Banda akamata nafasi ya tatu

  Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika...

Magazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 31 May 2014

...

Friday, May 30, 2014

Mwanafunzi wa CHUO KIKUU D’SALAAM(UDSM) akutwa amefariki akiwa HOSTELI

Mwili wa mwanafunzi ulipokutwa Hosteli     Mwili ukitolewa Nje ya Hosteli Mwili ukiwekwa ndani ya Ambulance Habari Kamili kuhusiana na Mkasa huu Mzito zitawajia hivi Pu...

Wabunge wa Kambi rasmi ya upinzani wasusia bajeti ya wizara ya nishati na madini na kutoka nje ya bunge

Kiongozi  wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe amewatoa wabunge wote wa upinzani Bungeni ikiwa ni shinikizo la kuipinga Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kama ilivyokuwa imewasilishwa na Waziri wa Wizara hiyo Professa Sospeter Muhongo.   “Hatuwezi kuendelea kuzungumzia bajeti ya Serikali isiyokuwa na sera,mimi kama...

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 30 May 2014

...

Polisi yawanasa wanamgambo wa AL SHABAAB Jijini Arusha

Polisi imesema imekamata watu 17, wanaotuhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu jijini Arusha na usajili wa vijana kwa lengo la kuwasafirisha kwenda nje ya nchi, kujiunga na vikundi vya kigaidi  ikiwemo  Al shabab. Pia, watu hao wanatuhumiwa kutaka kulipua maeneo mengine, hasa taasisi za Serikali na maeneo ya mikusanyiko ya watu. Mkuu...