banner

Tuesday, April 15, 2014

Majambazi yavamia na kupora fedha katika Benki ya Barclays tawi la KINONDONI jijini Dar Es Salaam


Watu wanaosadikiwa ni majambazi wamevamia Benki ya Barcrays tawi la KINONDONI jijini Dar Es Salaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.
 

Tukio hilo limetokea leo likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.

 Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar Es Salaam, Suleiman Kova amefika katika eneo la tukio na kuahidi kuanza upelelzi mara moja.

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment