banner

Thursday, April 24, 2014

Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya basi la Luhuye Mkoani Mwanza yaongezeka na kufika 16....Hizi ni picha mbalimbali za majeruhi wakiwa Hospitali ya Rufaa Bugando


Baadhi ya majeruhi katika ajali ya Basi la Luhuye Express iliyotokea juzi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakipelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza. Mpaka sasa watu 16 wamepoteza maisha

Majeruhi wakiwa hospitalini Bugando

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment