Baadhi ya abiria waliokuwemo kwenye basi la Princess Muro walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Mkoani Mbeya kuja jijini Dar es Salaam wakiwa hawajui la kufanya baada ya Basi hilo kupinduka jioni hii katika eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi,Mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment