banner

Thursday, May 8, 2014

Picha kutoka Bungeni mjini Dodoma Leo.....


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014.


 
Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul akiwa Bungeni

.
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na mpambe wa Bunge kutoka ukumbili leo Mei 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment