banner

Monday, May 5, 2014

Kinana afuta nyayo za UKAWA Zanzibar, maelfu ya wananchi wahudhuria mkutano wake.....Wazanzibar wadai serikali mbili zinawatosha

Umati wa wananchi uliohudhuria mkutano huo

Wazanzibar  wanasema  Serikali  mbili  zinawatosha

 Wananchi wakishangilia na kuonesha vidole kuunga mkono serikali mbili za Muungano wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM  kwenye viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.

 Mama Fatma Karume akihutubia katika mkutano huo na kukemea Ukawa wanaotaka kuuvunja Muungano kwa kutaka Serikali Tatu katika mabadiliko ya Katiba mpya.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Zanzibar na kuwaambia CCM itasimamia haki za Wazanzibar na kuhakikisha Muungano unadumu na Mapinduzi ya Zanzibar yanaenziwa .

 Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini,Mh. Emmanuel Nchimbi akinukuu sehemu ya maandishi yaliopo kwenye kitabu cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad wakati wa Mkutano wa hadhara wa CCM

Mh. Stephen Wassira akiwasalimia wananchi

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment