Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijajulikana bado kama kuna aliyekufa.
Copyright © 2014 UTANDAWAZI.
0 comments:
Post a Comment