Mama yake huwa anamuandalia kuku kama chakula cha siku lakini anakataa na kutaka apewe vipande vya matofali.
Kwa siku moja anakula vipande kadhaa vya matofali ambapo kwa makadirio huwa anakula kilo 3 kila siku.
Fundi huyo wa kujenga nyumba Pakkirappa Hunagundi anasema kwamba ameanza
kula vitu kama hivyo tangu akiwa na miaka 10 na anaweza kukosa chakula
lakini hawezi kukosa kula vipande vya matofali.
Akiwa anapata chakula chake hicho akipendacho(matofali) huwa anahitaji
kikombe cha maji tu ili kushushia na mwenyewe anasisitiza kwamba
hajisikii tofauti kabisa.
Mkazi huyo wa kijiji cha Karnataka nchini India anasema anataka
kuzunguka India nzima akionyesha watu uwezo wake huo na kujipatia pesa
kwa kuonyesha maajabu hayo.
Angalia hii video uone jinsi jamaa anavyomega matofali:
Monday, April 7, 2014
VIDEO: MTU WA AJABU ANAYEKULA MAWE NA MATOFALI KAMA MAANDAZI..!!
Unknown
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment