banner

Monday, April 7, 2014

Ridhiwani Kikwete ashinda kwa asilimia 86.8% uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Chalinze



 Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyosomwa TBC saa moja asubuhi ya Aprili 7, 2014, Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Chalinze, Samuel Sarianga ametangaza aliyekuwa mgombea wa kiti cha Ubunge wa jimbo hilo CMM, Ridhiwani Jakaya kikwete kuwa ndiye mshindi. Mgombea huyo amepata jumla ya kura 20,828 (86.8%). 

 Washiriki wengine na kura walizopata ni CHADEMA 2,544 (10.5%), CUF kura 476 (1.9%), AFP 0.25% na NRA 0.25%

Hadi msimamizi wa uchaguzi huo alipotangaza matokeo, waliotia saini fomu ya matokeo hayo kati ya vyama vyote vilivyoshiriki ni CCM na NRA pekee.


 

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment