Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea nchini
Mhe Chung IL wakiwa mbele ya mchoro wa mfano wa Hospitali ya Chuo
Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila
maeneo ya Kwembe, Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa
kuliko zote nchini leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifurahi na msanii Mrisho Mpoto baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya
Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini
Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam,
baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa
kubwa kuliko zote nchini
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL
wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa
Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa
24 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi
wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini leo April 24,
2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chungh IL
wakiweka udongo kwa pamoja wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa
Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi
Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila Kilometa 25 kutoka jijini
Dar es salaam,
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL
na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi
la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na
Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe
Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam,
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mkasi Mbunge wa Ubungo
(CHADEMA) Mhe John Mnyika ili na yeye akate utepe na viongozi wengine
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya
kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili
kijijini Mloganzila mkoa wa Pwani leo April 24, 2014.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika sherehe za kuweka jiwe la
msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha
Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila mkoa wa
Pwani leo April 2014.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment