banner

Monday, April 14, 2014

Picha mbalimbali toka jijini Arusha baada ya mlipuko wa bomu la jana


Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni


Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana katika Arusha Night Park na kujeruhi watu 15


Majeruhi baada ya bomu kulipuka


Mmoja wa majeruhi akiwa hai baada ya malipuko

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment