Hii ni ndege ambayo ilichochora mara baada ya kutua Iringa airpoort (Nduli) tunashukuru Mungu haikulipuka na tukatua salama,picha hii imetumwa na mdau ila ni ajali iliyotokea zaidi ya mwaka mmoja sasa na sasa katika uwanja huo kuna maboresho makubwa zaidi na gari linalotumika si hili tena
0 comments:
Post a Comment