banner

Saturday, April 12, 2014

MVUA ZAENDELEA KUWAACHA WAKAZI DAR BILA MAKAZI


Mvua  yaendelea  kusumbua  Dar es Salaam  maji  kila  kona kama  hapa  inavyoonekana  (picha na mdau  wetu  Mpeli Mwaisumbe)


Mkazi wa  jiji la Dar es Salaam  akiwa ameokoa  baadhi ya mali  zake  huku  asijue kwa kwenda


Mbali ya  nyumba  hizi kufunikwa na maji  ila  bado nyumba  hii  kushoto  umeme  unawaka jambo ambalo ni hatari zaidi  na Tanesco  wanatazama  (picha na Mroki Mroki)


 Hivi ndivyo  mvua  inavyowatesa  wananchi  wanaoishi mabondeni jiji  Dar es Salaam  ila bado hawataki kuhama




 

 





Daraja la  Bunju  Dar

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment