banner

Friday, April 11, 2014

Majambazi yawapiga Risasi Wachina na kuwapora fedha eneo la Morocco Dar

 

 Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha  eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam  jioni ya leo. Bado haijafahamika ni kiasi gani cha fedha zilizoporwa na majambazi hao.

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment