banner

Monday, April 21, 2014

BREAKING NEWS: Ajali Simiyu, watu 20 wafariki papo hapo

Watu 20 wamefariki papo hapo na kadhaa kujeruhiwa HIVI PUNDE eneo la Busega, Simiyu, kufuatia basi la Luweye lilikuwa linatoka Musoma kwenda Mwanza kugonga nyumba na kupinduka

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment