Basi la Kampuni ya
Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto tarehe 28 April
jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha
katika ajali hiyo.
Hii ni video ya basi hilo wakati likiteketea kwa moto.....
0 comments:
Post a Comment