banner

Wednesday, April 30, 2014

Basi la AM Coarch lapata ajali Ipuli na kusababisha kifo cha mwanafunzi mmoja



 Askari Polisi Kitengo cha usalama barabarani wakiuchukua mwili wa mtoto aliyegongwa na basi la kampuni ya A.M maeneo ya Ipuli Mnadani ambalo lilikuwa likitokea jijini Mwanza.Katika ajali hiyo watu kadhaa wamejeruhiwa. 




Umati mkubwa wa watu ambao ulifiika kushuhudia ajali hiyo

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment