banner

Tuesday, April 29, 2014

Basi la Hood lateketea kwa moto eneo la Wami, Pwani


Basi la Kampuni ya Hood, lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha limeteketea kwa moto jana jioni eneo la Wami, Pwani. Hakuna majeruhi wala  mtu  yeyote  aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.

hood

   Dar es Salaam to Mwanza

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment