Kambi rasmi ya upinzani imetangaza baraza la mawazili kivuli katika wizara 29 ambao wanashika hatamu za uongozi kwa kipindi kilichobakia kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.
Akitangaza rasmi Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe amewataka viongozi walio teuliwa kutumikia vilivyo nafasi zao kwa maendeleo ya watanzania
Walioteuliwa ni pamoja na :
UTAWALA BORA- PROF. KULIKOYELA KAHIGI(CHADEMA)
MENEJIMENTI UTUMISHI WA UMMA – Vicent Nyerere(Chadema)
Ofisi ya rais mahusino na uratibu – Esthre Matiko – Chadema
Ofisi ya makamu wa rais mazingira - MCH. ISRAEL NATSE – Chadema
Ofisi ya waziri mkuu uwekezaji – Pauline Gekul – Chadema
Ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge - RAJAB MOHAMED MBAROUK(CUF)
Ofisi ya waziri mkuu tamisemi – David Erenest Sirinde ( chadema)
Wizara ya chakula kilimo na ushirika – Meshack Opoulukwa –Chadema
Wizara ya nishati na madini- John Myika (chadema)
Wizara ya fedha na uchumi: James Mbatia ( chadema)
Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa – Ezekeiel Wenje – chadema
Wizara ya katiba sheria na muungano- Tundu Lisu – chadema
Wizara ya ujenzi – Felix Mkosamali –NCCR
Wizara ya maji na umwagiliziaji – Magdalena Sakaya Cuf
Wizara ya uchukuzi – Moses Mchali –NCCR
Wizara ya mambo ya ndani ya nchi – Godbles Lema – chadema
Wizara ya aridhi nyumba na makazi – Halima James Mdee – Chadema
Wizara ya manedeleo ya mifugo na uvuvi – Mkiwa Adam Kiwanga – cuf
Wizara ya maliasili na utalii – Mchungaji Peter Msigwa – chadema
Wizara ya ushirikiano wa afrika mashariki- Rukia Ahmed Kasim (cuf)
Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa – Masoud Abdala Salim – CUF
Wizara ya elimu mafunzo ya Ufundi – Suzan Jerome limo – chadema
Wizara ya afya na ustawai wa jamii – Dr Gervas Mbassa – Chadema
Wizara ya viwanda Biashara na masoko – David Kafulila – NCCR
Wizara ya mawasilino sayansi na Teknolojia – Eng Habib Mnyaa (chadema)
Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto – Baruani Salum Khalifan (cuf)
Wizara ya kazi na ajira – Cesilia Paresso – Chadema
Wizara ya habari – Joseph Mbilinyi – Chadema
0 comments:
Post a Comment