Haya maajabu kweli! Huyu mzee alidondoka toka juu baada ya kuchoka kuruka kama ndege.Mtu mmoja aitwaye Chike ametoa ushahidi kwamba aliona
ndege watatu wakipaa angani na baada ya muda wawili wakaanza kupigana
kitu kilichopelekea ndege mmoja kudondoka na kubadilika kikongwe umwonae
hapo chini. Chike anasema mzee huyo aliumia sana baada ya kudondoka
kwani mkono wake mmoja wa mbele uligusa waya wa umeme akiwa anadondoka.
Baada ya mzee huyo kukamatwa na watu wenye hasira kali
aliweza kukukiri kwamba yeye ni mchawi na alikuwa na wenzake ambao
walimwacha baada ya yeye kudondoka ,anasema walikuwa mkutanoni nchini
Nigeria na walipomaliza walianza safari kurudi makwao.Kikongwe huyu
alisema safari ya kurudi haikufanikiwa kwani usiku mzima walijikuta
wanazunguka Lagosi, na anasema alidondoka kwasababu alichoka kuruka.
Friday, May 23, 2014
Aibu! Mchawi adondoka baada ya kuchoka kuruka kwa muda mrefu….!!
Unknown
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment