Viongozi wa UKAWA wakiwa katika mkutano na Waandishi wa habari katika
ukumbi wa hoteli ya Mzsons Shangani Zanzibar baada ya mkutano wao
kuahirishwa na jeshi la Polisi Zanzibar kwa sababu za kiusalama .
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika ukumbi wa mkutano na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimnali viliko Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Mhe. Profesa Lipumba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kutoka kwa Wajumbe wa UKAWA kutoka Vyama vya Upinzani Wanaohudhuria Bunge Maalum la Katiba
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, akizungumza na waandishi wa habari sababu za kutoka katika bunge maalum la katiba Tanzania.akisisitiza jambo katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment