banner

Tuesday, April 8, 2014

Wanafunzi wa SUZA washiriki Mashindano ya Mobile APPS Zanzibar.



Afisa Masoko Muandamizi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg Seif Suleiman akizungumza na Wanafunzin wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) Wanaoshiriki  katika mashindano ya Mobile APPS yanayofanyika katika Kampasi ya  SUZA ilioko Vuga Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa SUZA  Vuga.

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment