
Rais Mstaafu wa Namibia Sam Nujoma akisalimiana na Dkt. Harisson Mwakyembe alipowasili Kwa ajili ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Lesotho Mfalme Letsie 111 akiwasili Kwa ajili ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania kushoto ni Waziri wa Kilimo Christopher Chiza

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiwasili uwanjani Kwa ajili ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na baadhi ya Maafisa usalama alipowasili Kwa ajili ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Nigeria Mohammed Sambo akiwasili Kwa ajili ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Kulia ni Mwenyeji wake Dkt. Hussein Mwinyi.
Picha na Eliphace Marwa na
Fatma Salum (MAELEZO )
Saturday, April 26, 2014
Viongozi wa Nchi mbalimbali wawasili Nchini Kwa ajili ya Maadhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.
Unknown
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment