banner

Tuesday, April 22, 2014

Picha zaidi za ajali ya Basi la Luhuye lililoua watu 11 jana mkoani Mwanza....





Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi.


Wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30.


 Basi la abiria la Luhuye Express baada ya kupinduka.


Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo mbaya

Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment