banner

Sunday, April 13, 2014

Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, Dk John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam wanusurika kufa katika ajali ya helikopita ya Jeshi


Viongozi watatu wa Serikali, Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki wamenusurika katika ajali ya helikopita ya Jeshi iliyotokea leo jijini Dar es Salaam walipokuwa wakijiandaa kuelekea kukagua maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha kote nchini.

Hata hivyo, taarifa za mtu ambaye hakutaka kutaja jina lake kwa kuwa si msemaji wa Jeshi la Polisi amesema kuwa hakuna kiongozi aliyeripotiwa kujeruhiwa sana na hivyo Dk Bilal aliazimu na kuendelea na ziara ya ukaguzi kwa kutumia gari.






Socializer Widget By Blogger Yard
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →

0 comments:

Post a Comment